Kama una malengo makubwa katika mahusiano yako basi usiache kumtanguliza Mungu,,ili awatangulie katika kutengeneza familia bora ambayo itaongozwa na hekima zake,,,,,kama utamtanguliza Mungu katika mahusiano yako basi yatafika mbali zaidi.
MUNGU NAE HUUSIKA KWENYE MAHUSIANO
Reviewed by Tasboy
on
3:30 PM
Rating: 5
No comments