DADAANGU WAJIBIKA
DADA mzuri wa sura na umbo una tumia kama siraha zako kupata pesa au wanaume. Dada nakukumbusha tu kuwa sisi Wanaume tamaa ya ngono ni ya kudumu mda mfupi. Ko hata ujiite fundi wa mahaba na mikao mingi ila ikifika mda utaachwa na uzur wako ukibak ukilia. Ngono sio tiket ya kudum ktk mapenz
DADA ngono haifanyi upendo udumu hili tendo ni kama sehem ya faraja na starehe zingine kama Pombe;sigara;disco.
Namanisha kuwa kushiriik tendo kila mara haimanishi kuwa ndo atazid kukupenda. Waweza kaa kwa mwanaume hata wiki au mwez ila siku ukiondoka na mapenz ujue yameondoka. Utumie vizur mwili wako jitunze sio kila mtu na kila mara ufunuliwe
PESA HAITO KUPA HESHIMA DADA
mwanaume aliekupata kwa kutumia pesa na zawadi kubwa kwako hatakaa na wewe milele.Anakuchukulia kama Kahaba atapo kutumia siku ya 1;3 na 4 ataanza kujitoa kwako na baadae atakuacha na kutafuta mwingine. Atakae jitahid bas atakutafutia chumba ili uwe nyumba ndogo yake
mwanaume aliekupata kwa kutumia pesa na zawadi kubwa kwako hatakaa na wewe milele.Anakuchukulia kama Kahaba atapo kutumia siku ya 1;3 na 4 ataanza kujitoa kwako na baadae atakuacha na kutafuta mwingine. Atakae jitahid bas atakutafutia chumba ili uwe nyumba ndogo yake
afu ulivyo mpumbavu nawe utajitangaza Umeolewa wakat umehifadhiwa tu. Kuna faida gani kuwa daraja la pili yaani mchepuko kisa pesa wakat unao uwezo kumpata wako ???
DADA TABIA ni mali ya kudumu UZURI ni pambo la mda
Uzuri wako utawafanya wanaume na vijana weng wawe karibu nawe. Wapo watakao uza hata mazao ili wapate pesa za kuutumia uzur wako.
Uzuri wako utawafanya wanaume na vijana weng wawe karibu nawe. Wapo watakao uza hata mazao ili wapate pesa za kuutumia uzur wako.
Dada wewe ni mzur sana tu ila maisha yako ya Mahusiano yataishia ya kuwa Boyfriend na GIrlfriend au utaishia kuvishwa pete na kuvuliwa tena. Utaishia kutumiwa na kuzalishwa na waume za watu au wanaume wasio na mpango wa kukuoa. Hii itatokana na wewe kushindwa kutambua nini unataka ktk mahusiano
Wapo watakao jitokeza KUKUOA sababu ya uzur wako ili waonekane wana wake wazur wa sura. Unaweza kuolewa ila TABIA ikiwa ya kishenz huwez dumu ktk ndoa au mahusiano. Uzur wa mwili na sura uendane na matendo
Usitake kuishi maisha mazur kwa pesa za kuhongwa maana kuna mda utachoka hakuna atakae taka asimame nawe
Uzur wako wa sura uendane na matendo ili upate mwanaume atakae dumu nawe
Vitu ambavyo pesa haiwez nunua
Furaha ya kudumu
Tabia njema
Marafik na ndugu wa kweli
Uhai wa milele
Uaminifu
Uvumilivu
Furaha ya kudumu
Tabia njema
Marafik na ndugu wa kweli
Uhai wa milele
Uaminifu
Uvumilivu
KUMBUKA: Pesa kweli inahitajika sana ili mambo yaende sawa. Lakin usikae utegemee uletewe badala ya kujishughulisha.
KAKA mkeo anakutegemea ww ndo umtunze kwa kila kitu .unaonekana wa ajabu pale mkeo anazid chakaa huku mchepuko wako una nawiri. Mhudumie mkeo na sio kusema amechoka wakat we ndo umemchakaza. Mkeo bado mzur ila kakosa vipodoz na mavaz lakin pia chakula bora.
Mkeo wa miaka 30_35 kuonekana Mama wa miaka 40_50 we ndo umehusika kumchakaza..
Umemuzalisha haraka watoto weng
Matunzo hakuna.
Unampa mawazo mengi
Hana raha
Matunzo hakuna.
Unampa mawazo mengi
Hana raha
No comments