*KATIKA SOMO LETU LA LEO NITAZUNGUMZA NA MAMA ZANGU, DADA ZANGU Naomba zindukeni SINGLE MOTHERS*
✋🏻 *HABARI ZA ASUBUHI NDUGU ZANGU WA MAISHA NA MAHUSIANO*
🧾 *KATIKA SOMO LETU LA LEO NITAZUNGUMZA NA MAMA ZANGU, DADA ZANGU Naomba zindukeni SINGLE MOTHERS*
👨👦👦Jana niliuliza Kwa nini Mwanamke kuolewa na mwanaume mwenye mtoto iwe kawaida.. Lakin mwanaume kuoa mwanamke mwenye mtoto iwe gumzo? Lakini wengi wanapuuzia maswali yangu coz hayana umuhimu

🤱🏼Mwanamke uliye zalishwa unaweza kufaa au kuto kufaa kuolewa kulingana na msimamo na akii yako Naamin kuwa mpo mulio beba mimba kwa kuwa muliahidiwa Ndoa baada ya mimba kutunga.
🤰🏼Wapo mulio beba mimba sababu ya uchanga na ugen ktk mapenz yaan umejitunza ila siku ya mwisho mwanaume wako wa kwanza ndiye akakupa mimba na kukuacha.
🤰🏼Mpo mulio pata mimba baada ya kubakwa Na wengine mulikosea kuhesabu tarehe ikaingia na hamkuwa tayar kutoa ..
🤰🏼Haijalishi ulipata mimba mazingira gan unatakiwa ubadilike na uwe na akil mpya
🤱🏼Kuwa na mtoto hakukunyimi nafas ya kuolewa unacho takiwa kujitambua tu.
🤦🏼♀ *Sasa leo nauliza tena then msijibu swali langu SINGLE MOTHER unataman Ndoa??*4
No comments