KWANINI NI RAHISI KUFURAHIA MAHUSIANO NA UKIINGIA KWENYE NDOA UJUTIE NA KUHISI HUKUPASHWA KUWEPO HAPO?
Majibu ni rahisi sana;
"UMBALI HUFICHA UHALISIA"
Unajua kwa sasa NDOA nyingi zinajengwa na MWANAMKE kuliko vile Mungu aliumba DUNIA.
Wanawake mnalazimisha heshima ya ndoa wakati Mwanaume hakupendi na madhara yake ni makubwa sana kuliko shauku yenyewe, Mwanaume kama HAKUPENDI hata umpe nini wala HAWEZI KUKUPENDA zaidi utakuwa unajiongezea matatizo moyoniðŸ˜ðŸ˜
Kwa sasa kati ya Wanawake kumi walio kwenye ndoa unakuta Mmoja ndiye aliyeolewa kwa Mwanaume kukidhi masharti na vigezo vya ukweni, na pengine katika kundi hilo usipate japo Mwanamke aliye olewa ila ukakuta wote ni kwamba Walijiozesha na Mwanaume akasimama kama kivuli cha MUOAJI.
Naomba ifahamike kwamba;
▪NDOA ni Mwingiliano wa watu wawili walio dhamiria kujenga FAMILIA.
▪HARUSI ni tukio la kuwakusanya watu na famili kushuhudia WAPENZI WALIO AMUA KUWEKA HADHARANI MAPENZI YAO.
Mwanamke tambuwa katika tukio hilo la HARUSI wewe ndiye utakayepata hasara kama mambo hayakwenda kama ilivyotarajiwa, Kuna shida katika jamii ya kwamba MWANAUME KUVUNJA NDOA ni kawaida eti kamshindwa Mwanamke, ila kwa Mwanamke ni AIBU na hilo ndilo limedumaza fikra za wanawake wengi, Hakuna lishindalo AMANI kwenye Maisha ya mtu, Ya nini kubeba mtu moyoni na wakati yeye hata hana shida na wewe?
Usipojua AFYA YA AKILI YAKO PAMOJA NA AFYA YA MWILI VINATOKANA NA AMANI YAKO rafiki utapauka na kukongoroka halafu lijamaa ndo kwanza linazidi kubadili warembo tu💃💃
Umbali ulificha mengi, Kwa hakika MZIZI WA FITNA kwenye mahusiano ni KUKAA PAMOJA JAPO SIKU 3 bila kupeana gape Yaani iwe DOOR TO DOOR wallah muongo hachomoki😅😅😅
Mwana usiparamie HARUSI bali onba Mungu umpate MUME kwa sababu UPENDO MDOGO HUJENGA TUMAINI na mwisho kabisa ni FURAHA YA KUDUMU💪
Maana kama hakukupenda kabla hajakuoa wala HARUSI haitamfanya akupende zaidi ndo utaijua true colour yake nawe utaangamia kwa kukosa MAARIFA😎

No comments