Nilimtongoza Akakataa, Nikamtongoza Best Friend yake Akanikubali. Sasa imekuwa Nongwa
Huyu dada nilikutana naye Hotel Moja ya Kimataifa katikati ya Jiji la Dar, nikamtokea. akanikatalia kuwa si sahihi maadili ya kazi hayamruhusu.nlimwambia pale tumeonana tu mazoezi mengine yataendelea nje ya eneo lile akawa haeleweki.
Binafsi huwa sipendi sana kuzungushana na msichana ambaye najua kabisa siyo Bikra.nikaachana naye. Nikaja mwona yupo na rafiki yake mkali zaidi nikamtokea huyo rafikiye.
Yeye dada wa watu hakutaka tuzungushane akanikubalia.yule wa kwanza kaja kujua kakasirika na kuanza kunitumia texts za matusi kuwa mimi malaya namchanganya yeye na rafikiye.
Na akawa anamwambia rafikiye aachane nami.na rafikiye kashangaa why aachane nami wakati sijamtenda neno baya lolote?
Basi imekuwa ugomvi kwao na kwangu pia.yule dada anamsema vibaya rafikiye na pia ananisema vibaya mimi.but sioni kosa langu hapo ni lipi.yeye hatukudate hata kidogo. So alitegemea kunikataa yeye ningebaki single brother?
Rafikiye kamwambia haniachi na aende popote atakapo akashtaki.huyu dada sasa anaweka tu status za maneno maneno na kashfa.sasa ananitumia text kuwa tukutane anieleze mambo yalivyo.nmeshagundua mtego wake.naendelea kukwepa.
But why amchukie rafikiye ambaye hajakosea lolote kwake?

No comments