Breaking News

Hizi Ndio Tabia za Mabinti Kutoka Familia Njaa/Maskini

Kama mada inavyojieleza
Nimefanya kauchunguzi kidogo nimegundua mabinti wengi wanaotoka katika familia njaa/maskini mlo mmoja kwa siku wana tabia zifuatazo:-
1.Wanapenda sana kuigiza maisha ,yani jinsi wanavyojiweka utafikiri ni mtoto wa Dangote au Bill Gate
2.Kupenda vitu vya gharama tofauti na uhalisia wa maisha yake na ya nyumbani kwao-simu atataka amiliki ya laki 3 wakati ndugu zake wanashindia mihogo
3.Wanapenda sana starehe,yani mademu wengi ambao kwao njaa ni watu wa kupenda starehe,club kwa sana kila weekend na kutembelea maeneo mengine ya starehe
4.kuchagua baadhi ya vyakula na kubagua vingine hasa wawapo ugenini,wao wanapenda wale chips kuku,Pizza,Burger
5. Wanajifanya wajuaji na waongeaji sana,kutwa wanashinda vibarazani kuwasema wenzao
6. Wapo huru sana kutoka nyumbani kwao,yani yeye anatoka muda wowote anaojiskia iwe asubuhi,mchana,jioni au usiku
7. Ukimtoa out anakula na kunywa kama anakukomoa
8.Ukimwita ghetto lazima akuombe nauli hata kama nauli ni 400 atataka umtumie
9.Anapendelea kuvaa nguo ya aina moja hasa ile aliyoambiwa akivaa inampendeza
10.Wengi ni omba omba sana
11. Wanajifanya hawana wivu
12. Hataki upajue anapoishi ,ukimwambia nataka kupajua kwenu chenga kibao hadi unaghairisha
13.Anawajua madereva boda boda wengi na bajaji.
Nchana Mwema

No comments