Breaking News

MPENDE MKEO

Ukiutumia muda wako mwingi kuonyesha UPENDO kwa MKEO, mara nyingi hata WEZI hukimbia wenyewe.

Yaani mtu anamtaka mkeo lakini kila akipita mbele ya nyumba yenu anawakuta mko mnacheza karata, kila anapomuwinda anakuona upo nae, Unaishi na mkeo vizuri na umemfanya mwanamama asijutie kuolewa nawe, unadhani Kuna kunguru atapenyeza neno?, Thubutuuuu!.
Mwanamke aliye kwenye hatari ya kukamatwa na kunguru ni yule ambaye ANAISHI KWA KUOMBA MUNGU AMBADILISHE MUMEWE NA KUWA KAMA VILE MWANAUME MAKINI ANATAKIWA KUWA.
Ukimuona mwanamke amechepuka ujue alipo panamtesa ndo maana anahangaika kuitafuta AMANI ya moyo wake.

No comments