Breaking News

WALI NAZI….5

Muda nao haukuwa nyuma, jua liliwaka kitendo cha kumaliza tu kuoga na kuvaa niljikuta na tweta na jacho kama ile ya awali. Kwa namna nilivyokuwa nimechoka, haikuwa ikinipa kero sana maana hata maumivu hayakuwa yakisikia kwenye mwili wangu. Lakini safari hii joto lilikuwa likishemsha damu yangu mithiri ya maji yashemshwapo. Nilipiga hesabu ya kwenda kufanya makulaji maeneo ya karibu na pale nyumbani ndio akili yangu ilikuwa ikicheza. Baada ya njaa kuanza kuchukua nafasi kwenye mwili wangu.
Facebook area ndio ilikuwa sehemu ambayo nilikuwa nimeshaifikiria pindi tu nilipofunga mlango nakutafuta sehemu ya kula, mara nyingi huwa na penda sana kupata msosi eneo lile maana si chakula tu nilikuwa nakifata eneo lile lakini uwepo wa watoto wazuri ilikuwa kivutio kikubwa kwangu, na mara nyingi visichana vya chuo ndio lilikuwa eneo lao haswa .
Hivyo huwa na penda kwenda kula na kusuuza macho yangu kidogo.
Sauti nyororo ilipenya kwenye masikio yangu baada ya kukalibia eneo lile na kuketi moja ya meza moja ambayo haikuwa imekaliwa na watu .Ilikuwa sauti ya moja ya wahudumu wa eneo lile na kunifanya utemeshi wa maneno yangu hapo awali kabla ya kukaa sawa na kuagiza chakula nilichokuwa na kihitaji. Niliagiza chakula muda mfupi nililetewa na kuanza kula nilitupia matango huku sauti ile ya mhudumu yule ilikuwa inanirudi masikioni. Sauti ambayo ilikuwa imebebwa na rafudhi ya watu wa Dundo ya msichana yule ambayo moja kwa moja nilihisi atakuwa mtu wa Dundo kama nilivyo mimi.
Mawazo yalinipeleka mbali sana nilikumbuka rafudhi ya kipenzi changu Mariamu wakati nipo Dundo, ndio sauti ile ilinifanya nimkumbuke Mariamu hakutofautiana hata kidogo na rafudhi ya msichana yule ambaye kipindi ananihudumia ilinibidi nimtazamae mara mbili mbili . Akili yangu ilikuwa imesafiri kilometa mia nne na arobaini kutoka mahali pale tulipo hadi ndani ya kijiji cha Dundo mkoani Tanga.
“Dah! Mariamu nimekumbuka sana pindi ulipokuwa ukinisifia na kuniambia sasa nimekuwa fundi katika mbinu zile za wali nazi wakati ukijaribu kunifundisha taratibu taratibu hatimaye kuwa mzoefu eti baby wali nazi. Ndio wali nazi kipenzi mchuzi wa nini? wenyewe tu unatosha kushiba chakula chako mimi kuridhika na wewe kuridhika na mimi ahhhhh!”…. Nilijisemea kimoyo moyo wakati nikiendelea kuyakumbuka yale sauti ya yule mhudumu ilipenya tena kwenye masikio yangu ikiwa karibu na meza ile aliyokuwa akiuliza wateja wengine.
Uvumilivu ulinishinda sikujua nini nakwenda kunena kwenye kinywa changu, ghafla mdomo wangu uliita jina la msichana yule nilikuwa nimelisikia kutoka kwa moja ya wahudumu wenzake, “Suleya” niliita kidogo kwa upole huku nikisindiiza na neno samahani. Moja kwa moja niliona mdada yule akigeuka na kuja pale nilipo punde alipomaliza kuwasikiliza wateja wale.
Nilitanguliza samahani kwa mara nyingine kabla ya kufatiwa na maneno ambayo yalikuwa na lengo la kufahamu mahali haswa alipokuwa amezaliwa. Loo! kumbe sikuwa nimekosea sana alinimbia kuwa ni mwenyeji wa Duga mkoani Tanga , kijiji ambacho hakikuwa mbali na kijiji chetu, nilianza kumtajia mitaa kabla ya kuanza kunena kilugha ambacho nae alikuwa akikifahamu vyema.
Nilijikuta na jizuika pale kabla ya kumuachia nafasi ya kuhudumia kidogo wale wateja na kurudi pale niliopo nakuendelea na maongezi kama vile tulikuwa tunafahamiana hapo awali.
Maongezi yalinoga na mwisho ilikuwa kunipatia namba ya simu ambayo alisema ni ya dada yake, sikuona shida ile ile ilikuwa inatosha kumaliza yetu maongezi nikiwa na shida nae.
Nilifanya malipo kabla ya kuondoka eneo lile nikiwa na mawazo kibao, niliendelea kupiga hatua kadhaa kabla ya simu yangu kuita , muito ambao ulinifanya niangalie kioo cha simu yangu hakuwa mwingine bali alikuwa Jimama Sophi kioo cha simu yangu kilionesha vile . Mara moja nilibonyeza kitufe cha kuipokea simu ile na kuweka kwenye sikio langu la kulia ambalo ndio mahususi kwenye mwili wangu katika kufanya mawasiliano kwa njia ya simu. Nikiamini ninasikia vyema mazunguzo kuliko nikitumia sikio langu la kushoto.
Sauti ya kudeka ya mama yule ilisika kwenye simu yangu zikifatiwa na i mis you nyingi zisikuwa na idadi. Nilitamani kucheka kwa muda ule ila nilijizuia mpaka pale alipoikata simu yake.
Hapo niliamini katika ulimwengu wa mapenzi kuna vitu muhimu sana hata uwe na pesa kiasi gani kama uwezi kumridhisha mwenzi wako, ni sawa sawa na bure, hapa suala la michepuko linaweza kuwagumu kuepukika. Kama hautokuwa mfanisi kwa kipenzi chako, maana wanawake wameumbwa na vitu tofauti namna ya kuridhika kwenye mchezo inahitaji utumie akili ya ziada kukiweka sawa kiumbe hicho na hapo utaweka heshima kwenye ndoa yako hata penzi lako.
Haijalishi saizi ya mtwangio wako, la ukiwa na mtwangio mkubwa unakupa faida ya kutwanga vizuri. Lakini hilo lisikusumbue ni wewe tu kumjua kipenzi chako ni maeneo gani ambayo ukimgusa anagusika na kipi anafurahia zaidi pindi muwepo ndani ya mchezo kiasi kikubwa unaweza ukafurahia penzi lako.
Niwazi niliweza kugundua bosi hakuwa hakimridhisha wake mke, na tetesi za kuwa si ridhiki nazo zilikuwa zimechukua nafasi kwenye fikra zangu huku nikishindana kupinga kile. Kwa mtazamo tu wa kawaida jambo la kuwa bosi Mshongoma “eti” awe si ridhiki ilo bado alilikuwa likileta msuguano kwenye kichwa changu.
Sumbuko usisumbukie kichaa mistari ya shairi moja nilikuwa nikilipenda wakati nipo shule lilipenya kwenye kichwa changu hapo sikuwa tena nikiyafikiria yale niliona tu ni kama kumsumbukia kichaa kwa lile niliendelea kuongoza njia ya kurudi nyumbani.
“Tuendelee Fundi wangu” sauti ile ya puani aliyokuwa akiitoa Suleiya ilipenya kwenye masikio yangu huku akiwa anacheza cheza na kifua changu. Ikiwa siku ya pili baada ya jana tu kuonja utamu wake. Ilikuwa kama zali kwa upande wangu maana ilichukua zaidi ya mwezi moja kupata kunielewa baada ya misele mingi eneo lile la Facebook area nilipoonana nae kwa mara ya kwanza.
Suleiya aliendelea na uchokozi kwenye mwili wangu taratibu askari wangu akasimaa imara kwa mara nyingine. Wakati huo kanda niliyoiweka kwenye redio yangu ilikuwa imemalizika. Kumalizika kule kulifanya kunyamazisha kelele zile za redio ambazo zilikuwa zikipunguza uwezekano washabiki ambao hawajalipia kusikia mtanange ule. Nilinyanyuka na kuweka sawa redio yangu kabla sijarudi kitandani nikiwa na yatazama vizuri maungo ya Suleya. Ukweli alijaliwa mno kijungu cha haja, chuchu za wastani, miguu iliyojazia kinamna. Ilizidi kuniongezea mzuka kwa mara nyingine kulekea kulila tunda lile.
ITAENDELEA..

No comments