MSIZIPE NAFASI TAMAA ZA KIDUNIA ZITAHARIBU SAFARI YENU YA KIMAPENZI
Usimuache mpenzi wako njia panda akashindwa kujua kama anapendwa au hapendwi,,,,,,hakuna faida yoyote utakayopata kwa kumfanya anayekupenda kwa dhati akaja jutia kuwa nawe,,kama mmeamua kuishi katika upendo basi kila mmoja aheshimu hisia za mwenzake na hakikisha tamaa za kidunia hamzipi nafasi zikaja haribu safari yenu ya mapenzi.
No comments