Breaking News

INAWEZEKANA KUISHI MAISHA YA FURAHA NA UMPENDAE

 

WAPENDWA, inawezekana kabisa KUAMUA KUISHI MAISHA YA FURAHA BAINA YAKO WEWE NA HUYO ULIE NAE,, HASA KWA MME NA MKE, MAANA NI NGUMU SANA KUONGEA MAPUNGUFU WALIYONAYO WACHUMBA KWAKUWA HAWAISHI PAMOJA, LAKINI KWAMUME NA MKE NI RAHISI MAANA MUDA MWINGI WAKO PAMOJA   KWA KUSEMA HIVYO NAPENDA TU KUWAKUMBUSHA KINA BABA WOTE KUKAA KATIKA NAFASI ZENU KAMA KINA BABA JUU YA FAMILIA ZENU,,, BEHAVE AS A HEAD OF THE FAMILY, FANYA MAJUKUMU YAKO YALIYO SAHIHI KWA MKE KAMA MUME, FANYA MAJUKUMU YAKO SAHIHI KWA WATOTO WAKO KAMA BABA, LAZIMA FURAHA ITAKUWEPO TU, LAKINI PIA KWA UPANDE WA WANAWAKE WENZANGU, TUJITAHIDI SANA KUTAFUTA AMANI NDANI YA NDOA ZETU, TUSIWE WATU WA KULIPISA, TUSIWE WATU KULAUMU TUSIWE WATU WA KUSHIKILIA, ,,,, WENGI WETU TUNAUMIA MAANA MIOYO YETU IMEBEBA VITU VIZITO MOYONI AMBAVYO VINATUUMIZA MIOYO YETU, TUMEKUWA NI WATU WA KUHESABU MAKOSA KILA KUKICHA, NDIO MAANA NDOA ZETU ZINA MANUNG'UNIKO KILA KUKICHA,,, ILA NAWAHAKIKISHIA KABISA UKIAMUA KUBADIRIKA WEWE NA MWENZI WAKO, KUISHI MAISHA YA FURAHA INAWEZEKANA KABISA,,,                                                                                                  
  


ZAIDI YA YOTE TUISHI TUKIMTEGEMEA MUNGU, MAANA YEYE NDIE MWANZILISHI WA NDOA, NA KAMA UKISIMAMA IMARA KWAKE UKAOMBA KWA AJILI YA MUMEO MALAYA, UKAOMBA KWA AJILI YA MKEO MALAYA, MUNGU YUPO ATAKUJIBU, ,,,,,, 

No comments