Breaking News

JUA NAMNA YA KUCHEZA NA MWENZIO KITANDANI AUONE UTOFAUTI

 

Kitanda hakina fundi huu msemo sio wa kuupuuza hata kidogo. Kama ulizoea mwendo wa kimbunga kitandani kwa aliyepita jua kabisa sio kila utakayekutana naye lazima atakuwa mpenzi wa style hizo lazima ujue kuusoma mchezo. Kama ulikutana na mtu akakuambia mwendo wa kinyonga ni mtamu kuliko wa farasi basi usilete mazoea hayo kwa mwingine lazima ujifunze namna ya kufikisha na kukidhi haja ya mwenzako kwa kusoma mchezo.

No comments