KAMA WEWE MUMEWE UTAFANYAJE?
Umeaga mkeo umesafiri,saa nne usiku umerud nyumban baada ya gari kuharibika njian
Unagonga mlango kimya,kwa kuwa una funguo nyingine unafungua mlango na kufunga kisha unajitupa kitandan bila kuwasha taa
BAADA YA DAKIKA 30 MLANGO UNAFUNGULIWA NA MKEO,
MOJA KWA MOJA HADI KWENYE MTUNGI,ANACHOTA MAKOMBE MATATU YA MAJI NA KUNYWA KWA FUJO NA KUJITUPA KOCHINI HUKU AKIJISEMEA
MOJA KWA MOJA HADI KWENYE MTUNGI,ANACHOTA MAKOMBE MATATU YA MAJI NA KUNYWA KWA FUJO NA KUJITUPA KOCHINI HUKU AKIJISEMEA
"KAMA KUPGWA PARA NDIO HUKU,AISEE MWANAUME ANA MASHINE NDEFU UTADHANI FAGIO LA KUTOLEA BUIBUI".
KAMA WEWE MUMEWE UTAFANYAJE?
No comments