Breaking News

SABABU 6 ZINAZOWAFANYA WANAWAKE KUWAEPUKA WANAUME WEMBAMBA

 

Je, wajua sababu ya wanawake wengine hawapendelei kuwa na wapenzi wembamba? Hi zi hapa sababu kutoka kwa wanawake Wakenya Kuwa na mpenzi ni ada ya maisha. Hizi ndizo sababu za baadhi ya wanawake Wakenya kutopendelea kuwa na wapenzi walio wembamba kuwaliko:
1. Mashindano Wanaume wembamba hufanya wanawake kujihisi kana kwamba wana uzani kupita kiasi. Hakuna mwanamke anayependa kujihisi kana kwamba ameasi mazoezi na kutelekeza kujitunza.
2. Hawana mnato wa mapenzi Mwanaume mwembamba hupendelea mtindo wa kufanya mapenzi wa jadi wa “kimishonari”. Hii ni kumaanisha mwanake kulala kifudifudi na kumngoja mwanaume kufanya kazi yote. Mwanaume mwembamba hana nguvu za kumbeba mwanamke wakati wa kufanya mapenzi. Wanawake wanathamini sana kudekezwa wakati wa kufanya mapenzi.
3. Wao huchoka haraka kitandani Wengi wao huanza kufanya mapenzi kwa kasi kisha kupoa baada ya dakika chache. 4. Kuwa mtetezi wake Wanawake hawapendi kutetea ukubwa au udogo wa miili yao. Aidha, hakuna mwanamke anayependa kulaumiwa kuwa kutomlisha mumewe chakula cha kutosha kumemsababishia yeye kukonda.
5. Wao huwa na majivuno kupita kiasi Wanaume wembamba hupenda kujionyesha kwa kuvalia mavazi ghali na ya kupendeza kuliko wake zao. Ukweli ni kwamba, wanawake hawapendi wanaume wanaoshindana nao katika mavazi au urembo.
6. Hana ‘mshiko’ kitandani Mwanamke hupenda mwanaume anayeweza kumlalia kifuani hadi asubuhi. Hata hivyo, kuna hofu ya kumvunja mbavu mwanaume mwembamba.

No comments