SHIDA HIZI ZITAKUPATA UKISHINDWA KUFANYA SEX MARA KWA MARA
Kama umekosa kabisa mtu wa kufanya nae sex, ni afadhali ujipe utamu binafsi (Musterbation)
Kuna usemi unasema Practice makes perfect. Na hii sio tofauti kwenye maswala ya kitandani. The more unafanya sex the more unazidi kuwa bora kwenye area hiyo.
Lakini kama dose inayotakiwa ya sex. Haya ni mambo yasiyofurahisha yatakayotokea kwenye mwili wako.
Utapoteza uwezo za kuamsha dude.
Utafiti umefanywa kupitia watu wazima ambao hawako active kwenye maswala ya sex. Utafiti ulibaini kwamba walipokaa muda mrefu bila mchezo, walipoteza kabisa uwezo wa kusimamisha.
Mwili unapokosa kuamsha dude kwa muda mrefu inakuwa ngumu kupata hiyo connection. Hivyo mwisho wa siku dude linakuwa limelala maisha yako yote.
Ushauri
Unashauriwa, kama ukikosa kabisa… ni afadhali upige punyeto ili kuweka mambo kwenye msisimko unaotakiwa.
Piga sana bao
kwa wiki moja mwanaume unashauriwa kupiga at least goli 4 takatifu. Kama usipopiga bao 4 na kuendelea unajiweka kwenye nafasi ya kupata tezi dume (prostate cancer).
Daktari amesema kama wewe ni moja kati ya wanaume masikini wa sex, unapata mara chache kwa mwezi. Basi ni muhimu ukawa unapiga punyeto at least kuweza kupunguza uwezekano wa kupata prostate cancer.
A Dr Said this…
Punguza uwezekanao wa presha
Damu inaweza kukimbia, ukashindwa kuhimili ukajikuta umekufa, na hii yote ni kwa sababu umeshindwa tu kujitafutia mchezo kiasi kinachohitajika.
Study iliyofanyika 2006 inaonesha kwamba, usiku wa mahaba na mikito, unapunguza stress za siku nzima ulizokutana nazo mtaani au ofisini.
Pengine ndio maana watu wenye shida mingi ndio wanazaa sana.
Sex huongeza kinga ya mwili
Kama umeshawahi kusikia usemi kwamba sex ni dawa ya mafua, kuna ukweli ndani ya hii statement.
Study nyingine imefanywa kwa wanaume wanaopata diet nzuri ya sex. Watafiti walipokusanya sample ya mate ya hawa jamaa, walikuta kuna kiasi kikubwa cha kinga ya mwili (common-cold busting antibody immunoglobulin A)
Well kumbe shida zako za vi-magonjwa vya ajabu ajabu vinaweza kutibiwa na sex. Kamata mchezo now!
Sex itakusaidia kuperfom kazini
Wakati mwingine katika maisha tunakutana na mambo mengi yanayoweza kusababisha morale ikashuka. Iwe ni kazini au kwa marafiki wakakukosesha furaha.
Lakini unaweza kuzuia hali kama hii isikutokee. Uhusiano mzuri na sex ya kutosha, itahakikisha siku zote wewe unafanya vizuri kazini, na pia una uhusiano mzuri na wafanyakazi wenzako.
Sex inakupa confidence
Sex inachangia kwa kaisi kikubwa confidence yako, pamoja na uwezo wako wa kuhimili mikiki ya maisha.
Sex inaondoa uchovu wa kijinga mwilini na kukufanya kila wakati uko alert, tayari kwa kukamilisha ndoto zako. Sex na uhusiano mzuri utakufanya uweze kuperfom kazini.
So kama bado unafikiria kwamba unaweza kukaa bila sex, you are not serious. Wewe utakuwa unajiingiza mwenyewe matatani.
No comments