ULIMBUKENI WA WANAUME LINAPOKUJA SWALA ZIMA LA MAPENZI NA UZURI WA MWANAMKE
Leo inabidi tuambiane ukweli, kuna baadhi ya wanaume ambao sijui ndo tuite “nzi kufia kwenye kidonda” yani utakuta mwanaume anamfukuzia mwanamke kwa miaka 3, kisa ni nini? eti oh yule demu ni mzuri, oh i have a crush on her, ooh nimemzimia..utakuta huyo mwanamke anaefukuziwa wala hamuwazi huyo mwanaume tena usiku analala usingizi mnono na vijambo juu.
Mtu anakaa kwenye relationship isiomfaidisha wala kumpa furaha eti kisa demu ni mzuri, aise i advise ni bora kuwa single tu kuliko kupitia haya mateso ya kujitakia, sisemi mtu usiwe na crush kwa demu, ila wanaume (including me) tuwe tunajaribu kusoma upepo, mpende demu ukiona haeleweki na hakutilii maanani.. sepa fasta it will be good for ur emotional health, naamini ukitubu dhambi kiukweli na ukimuomba Mungu atakupa mke mwema.
Some of my friends wanaapa kutumia hela nyingi sana kwa demu wanaemuona kuwa ni mzuri, they’re like yule demu bwana ni high status ngoja ntamchukua na prado, kumbe huyo demu anapigwa mate na muuza duka..just imagine mtu mwaka wa 4 bado anatajataja jina la demu ambae ana crush nae mm huwa mpaka nakereka, nawakataza wasitaje ovyo majina ya madem ambao hawana time nao..
Bora hata wanawake, akiona mwanaume hueleweki na hupendeki ..anafunga virago (labda cjui awe kwenye ndoa)
No comments