Breaking News

CHAGUENI YALIYO MAZURI KWENYE MAHUSIANO YENU NA KUACHA MABAYA

 




Mapenzi ni urafiki,,mapenzi ni kucheka kwa pamoja,,mapenzi ni kuishi kwa kuelewa hisia za mwenzio,,mapenzi pia yawezekana ikawa ni makosa tena yanayosababisha machozi kwa mmoja au maumivu,,,lakini pia mapenzi ni kufutana machozi na kugeuza maumivu kuwa furaha,,,,mapenzi ni pale ukikosea unaomba msamaha na kuishi kwenye ahadi ya kutorudia kosa tena,,,,ukirudia makosa mara kwa mara hayo siyo mapenzi bali unamtengenezea mwenzako roho ya chuki na moyo wenye maumivu na majuto,,,chagueni upande mzuri na mbaya achaneni nao.

No comments