Breaking News

JIFUNZE KUBALANCE HISIA

 



Kama hapokei simu zako mara mbili kwanini upige na ya tatu,,wazungu walikuwa na maana ya kuweka missed call,,kwamba kama mtu hakuwa na simu basi akirudi ataiona na kama alikuwa na shida na wewe basi atakutafuta,,,,ni lazima uache kujipendekeza hata kama unampenda vipi,,kama hatambui thamani yako basi hakuna idadi za meseji au simu zitamfanya akupende,,,,kama hakuthamini,,kama hakujali kwanini wewe usijali,,,lazima ujifunze kubalance hisia.

No comments