Breaking News

JINSI UNAVYOWEZA KUJUA UPO KWENYE MAHUSIANO HATARISHI

 


Sio kweli kuwa watu wanaokaa muda mrefu katika mahusiano ndio wanaweza kukumbana  na uhatari katika mahusiano , wapo ambao wamekuwa wakianzisha mahusiano kwa maslahi yao binafsi lakini wenzi wao wanapata tabu kujua kwa sababu wanakuwa tayari   wameshapenda.
Hata kama mmekuwa na mahusiano kwa muda wa wiki moja tu, ni lazima kuwa mwangalifu na mtu unaeingia nae katika mahusiano ili kujua kama uko kwenye hatari ya kuumia kwa namba yoyote ile.

No comments