Breaking News

KWA WANAUME; KATIKA MAHUSIANO HAKUNA RAHA KAMA KUWA NA MWANAMKE ANAYEKUPA CHALLENGE

 



Katika mahusiano hakuna raha kama kuwa na mahusiano na mwanamke anayekuchallenge katika mahusiano kiujumla na kimaendeleo,,,
Kitendo cha kuwa na mwanamke mrs yes man kunapunguza raha katika mahusiano,,inatakiwa uwe na mwanamke ambae hata ukitaka kumwambia kitu lazima ujiandae na hoja zenye nguvu,,,
Hata ukiangalia wanaume wengi wenye mafanikio,,wameoa wanawake ambao wanawapa challenge na sio mrs yes man,,pia kutaifanya akili yako kufanya kazi mara mbili zaidi ya inavyofanya kazi.

No comments