Breaking News

MSAMAHA KATIKA MAHUSIANO HULETA MWONEKANO MPYA KATI YENU,HIVYO JIFUNZE KUSAMEHE

 



Najua hakuna kitu huwa kinaleta utata katika mahusiano kama kusamehe,,,maana kila mtu ana Maputo yake,,,mwingine kwake ni rahisi kusamehe,,mwingine kwake inachukua muda kusamehe,,ila sigusii hilo,,langu ni kuhusu kubadilika sura ya mahusiano yenu,,msamaha unapokosekana,,furaha hupotea,amani hupotea,,Na pia hupoteza utendaji katika kazi hata kwenye masomo,,lakini msamaha pindi unaporejea kwenu na mmoja wenu kuamua kujishusha na kuamua kubadili sura iliyopo,,,ni dhahiri kuwa upendo badi upo na hakuna hata mmoja anataka kumpoteza mwenzake,,huna sababu ya kukaa na kitu moyoni jifunze kutua mzigo,,na hata kama kakuacha samehe na upige hatua,,,Usiruhusu tabia ya mtu iamue hatma ya maisha yako.

No comments