Breaking News

MUNGU HAJAKUPANGIA MTU MMOJA

 



Ifikie hatua tutofautishe mapenzi na ujinga,,,,,mtu mara ya kwanza unamsamehe,ya pili,ya tatu eee unasubiria maambukizi ndo ujue halikuwa fungu lako,,unajikuta mtu unajitunza kumbe mwenzako ndo anahitimu shahada ya anasa,,Mungu hakukupimia mtu mmoja kwamba bila yeye maisha hayaendelei,,KIMBIA.

No comments