TAFUTA MUDA WA KUWA KARIBU NA MKEO
Chukua muda wako,,kaa na ampe nafasi ya kumsikiliza mkeo ,,,,ukaribu wako utamfanya mkeo awe na uhuru zaidi kwako,,,,,wekeza zaidi katika kumjali na kumpa uhuru wa kufanya yaliyo mema,,,,kuwa mwanaume au mume mwenye kushauri apokuwa amekosea,,,lakini ushauri huo usiende kwa lugha chafu na ukali uliopitiza,,,akuombapo msamaha msamehe kwa dhati ili kuupa nafasi moyo wako kutokuwa na kinyongo nae,,,,sikufichi kama utamtendea mkeo haya basi atakuwa mke bora kwako,,mke mzuri kwako na atakuwa mke mtamu kwako,,,,,siku zote hutomchoka,,atakuwa mpya kwako kila leo,,,chukua hatua mkeo ni wathamani zaidi endapo utampa thamani
No comments