Breaking News

UKWELI HUJENGA SAFARI YENU YA MAPENZI NA SIO KUIGIZIANA MAISHA

 


Kama leo hii unaishi maisha ya kuigiza na unategemea kuja kuishi maisha yenye uhalisia,,basi sahau na anza kubadilika,,,,ukimwigiza mwenzako kwenye mahusiano basi tambua akigundua tu ataanza kukuigizia na yeye na safari yenu itakuwa imeishia hapo,,,,,,hata yakiendelea safari yenu haitakuwa na mwelekeo sababu ukweli wa maisha upo mbali na nyinyi.

No comments