Breaking News

WANAUME TU;MAUMIVU UNAYOMPA MPENZ WAKO HUSABABISHA KUBADILIKA KWA TABIA

 


Moja ya vitu vinavyoweza kubadili tabia ya mwanamke kwa haraka sana ni maumivu,,,,,,,,majeraha unayomwachia mkeo bila kujali umemuomba msamaha mara ngapi yana uwezo mkubwa sana wa kubadili tabia yake haraka sana,,,,mwanamke anapojeruhiwa inampelekea taratibu kuanza kuhama njia kabisa hata kama alikuwa ana dini kiasi gani,,,,anakupenda kiasi gani,,, majeraha unayompa yanaweza kumzaa kuwa mtu mwingine kabisa,,,,na ukashindwa kupambana na tabia atakazo zizalisha,,kama alikuwa hajawahi kutoka nje ya ndoa ataanza taratibu kama utani,,,kama alikuwaga anakuacha anakotaka kwenda ataacha,,,kaheshima kataanza kupungua kila siku japo atakuheshimu,,,,wala asiwe mlopokaji lakini akawa anafanya mambo kimya kimya ambayo atahisi yatampa furaha kuliko kukaa kukufikiria wewe usiyejua thamani yake.

No comments