Breaking News

WANAWAKE TU;KUFANYA MAPENZI SIO NJIA PEKEE YA KUMUONESHA UNAMPENDA MTU ,SOMA HAPA

 



Baadhi ya wanawake wanajua kuwa njia pekee ya kumwonesha upendo mpenzi wake ni kufanya nae mapenzi tu,,,ndio maana wapo baadhi ya wanawake wakishakupa penzi tu basi ni kama vile amejihakikishia ujira na atakudai malipo kwa njia yoyote ile,,,kumpa penzi pekee sio kiashiria kuwa unampenda sana,,
Haya ni baadhi ya mambo unaweza kufanya kuashiria kuwa unampenda sana
1.Mnunulie zawadi;usiwe mtu wa kusubiri tu zawadi wakati wewe hutoi,mnunulie T-shirt nzuri,viatu,,nguo za ndani na kadhalika.
2.Mtoe out kwa ajili ya chakula na lipa bili zote;hii ni dalili tosha kuwa unamjali pia na sio lazima yeye awe mtu wa kugharamia kila kitu.
3.mtumie meseji nzuri za mapenzi;onyesha unamkumbuka mara kwa mara.
4.Mpikie chakula kizuri anachokipenda kama surprise angalau hata mara moja kwa wiki.
5.Akiwa anapitia changamoto za maisha kama ukosefu wa hela,hakikisha unamfariji au kumpatia kama uwezo unao.
Usiwe mtu wa kutegemea kufanyiwa mazuri ilihali wewe haumfanyii mambo ambayo yataashiria una upendo kwake.

No comments