Breaking News

AHUKUMIWA KIFUNGO BAADA YA KUPOST PICHA HII FACEBOOK

 

Mahakama moja nchini India 🇮🇳 imeamrisha mwanaharakati wa kihindi bi Rehana Fathima kukaa rumande siku 14 kwa kuchapisha picha hii ☝🏿kwenye mtandao wa Facebook.

Polisi wanasema picha hii ni ya ”utupu”.
Amewekwa rumande kwa siku 14 kuruhusu polisi wakamilishe uchunguzi.
Je picha hii ya utupu?

No comments