Wanawake kuweni wavumilivu pale unapoona mwenza wako ana hali mbaya kimaisha,,kwasababu kama anakupenda kweli in lazima atapambana ili akufanye usijutie uamuzi wako wa kumpenda mtu mwenye hali kama yake,,usimdharau mtu ambaye hana kitu leo lakini ana maono makubwa kimaisha.
HAKUNA KITU KIZURI KAMA KUFURAHIA MAISHA NA MTU MLIYEPAMBANA NAE KUFIKIA MALENGO
Reviewed by Tasboy
on
8:26 AM
Rating: 5
No comments