Breaking News

KAMA UNAMPENDA MTU JITAHIDI KUMTHAMINI KWA JINSU ALIVYO

 



Kama kweli unampenda na kumhitaji mtu usitumie nguvu kubwa kumbadilisha kuwa kama vile unavyotamani kumuona,,,kwasababu mapenzi yapo na jinsi unavyomthamini ndiyo njia pekee ya kumbadilisha mtu unayempenda katika uhalisia wake kuwa vile unavyotaka kumuona

No comments