KAMA UNAMSALITI MWENZA WAKO ALIYEJITOA ILI KUWA NA WEWE BASI UTAKUWA UNAJISALITI MWENYEWE KWA KUKOSA HESHIMA BINAFSI
Ikitokea kuna mtu anakupenda na kukuthamini basi jitahidi kutomlipiza maumivu ya USALITI,,,,
Hata kama kuna vitu huvipendi toka kwake basi USALITI sio njia sahihi ya kurekebisha mapungufu yake,,
Jitahidi sana kuzungumza na mwenza wako,,kitu unachoona hakipo sawa maana usaliti sio njia ya kuondoa tatizo la mahusiano bali ni chachu ya kuharibu mahusiano.
No comments