KUBADILIKA KATIKA MAISHA NA MAHUSIANO KUPO
Kubadilika katika maisha kunatokea,,,uliyemwamini leo,kesho anaweza kukuumiza moyo wako na kukufanya usiamini tena katika mapenzi,,,,,dunia ina kila aina ya tabia zinazotofautiana kutoka kwa binadamu mmoja kwenda kwa mwingine,,,kila mmoja ana historia yake katika maisha ambayo inamfanya awe hivyo alivyo,,,,,,,usimkurupukie mtu bila kumjua vizuri sababu anaweza akakuangushia historia yake ya maumivu kwako na Akazidi kukufanya uione dunia pamoja na mapenzi kua machungu.
No comments