ima utambue kuwa mwenza wako pia na yeye ana hisia kama ulizonazo wewe,,,,,,tambua wakati gani yupo sawa na wakati gani hayupo sawa na anahitaji msaada ya kihisia,,,,,,,,mkielewana kiundani,,,basi ni rahisi pia kupunguza changamoto sababu utajua nini mwenzako anapenda kufanyiwa na nini hapendi.
TAMBUA HISIA ZA MWENZA WAKO
Reviewed by Tasboy
on
12:08 PM
Rating: 5
No comments