Tulia na uliye jaliwa na Mungu,,,,,acha kuhangaika kwingine kwasababu hutopata upendo wa dhati kama ulivyo na uliye unganishwa nae na Mungu,,,,,ishi kwenye huo upendo aliowaagiza Mungu ili kila mmoja asababishe furaha ya mwenzake na pia muwe mfano mzuri katika jamii.
TULIA NA ULIYEJAALIWA NA MUNGU
Reviewed by Tasboy
on
12:09 PM
Rating: 5
No comments