Mwanamke akishaanza tabia za kununa nuna bila sababu,,,,kuna mambo matatu,,, 1.Unamparua rua tu(humpi penzi la kumfikisha) 2.Umemuahidi pesa na hujatekeleza(umekuwa na ahadi hewa) 3.Kapata mwanaume mpya.
UKIONA MWANAMKE AMEANZA KUNUNA NUNA BILA SABABU UJUE...........
Reviewed by Tasboy
on
8:15 AM
Rating: 5
No comments