WANAUME WASIO NA PESA NI WAZURI KITANDANI KWANINI...
Wanasayansi wanasema.
Pesa sio kila kitu, watu.
Kamwe sitajidai kuwa najua mapenzi , au nina uzoefu mkubwa wa mapenzi duniani, lakini ni kuongea na wanawake wengine tofauti tofauti kuhusu wanaume na tabia zao za sex.
Wengi wao hulazimisha: wanaume wasio na pesa ni wazuri kitandani.
Huniamini mimi? Hapa kuna sababu nne tu za wanasayansi zinazoaminisha hicho:
1.Wao hufanya kwa ajili ya kile walichokikosa.
Theory yangu mwenyewe inasema kirahisi kwamba, ‘’broke’’men wako vizuri kitandani kwa sababu wao hujisikia hitaji kwa ajili ya kile walichokikosa kule- nilipomuuliza mtu ambaye ni bingwa wa mahusiano , alielezea, kama mwanaume ana kipato kidogo kuliko wanaume wengine hufikiria kitu cha kuweza kuuteka moyo wa mwanamke, hupenda kuonyesha mwanamke kwamba ana ujuzi mkubwa kitandani kuliko mwingine.lakini ningeita hio ni kufanyia kazi kwa ulichokipata, sio juu ya fidia.
Alisema pia,’’ wapo kuangalia zaidi sifa ya maisha kuliko maisha ya Anasa.- na hio sifa ya maisha ni nzuri sana’’great’’ frequent sex.’’
2.Hawana Msisitizo juu ya kazi.
Watafiti wamegundua kwamba asilimia 56 ya wanaume wenye pesa kidogo kuliko wake zao imedaiwa kuwa wako ‘’hot’’ au’’ very good’’ katika swala la sex,katika kulinganisha na kipato chao. Kwa nini? Hawana mawazo yoyote inapokuja kutafuta kitu pesa.
Mtu moja alisema, na ni kweli kwamba. Simtetei yule mwanaume ambaye ataacha kazi kwa ajili ya kuboresha swala la sex, lakini ni sababu nyingine kwao kwa kuungana na wanawake katika kampeini ya kijinsia usawa ulipe.’’
Oh, sielezei asilimia 90 ya wanaume wenye kupata kipato kikubwa pia walisema ndoa zao zingekuwa na furaha.
3.Kudanganya kwao ni mwiko, uwezekano wa kudanganya ni mdogo.
Mtafiti mwingine aligundua kuwa wanaume ambao wako daraja la juu katika jamii ni rahisi kudanganya na kuongopa, sijui kuhusu wewe, lakini ukirudi kule nyuma kitandani nyie wanaume ndio mna macho ya kuona , na mikono na vitu vingine kwa ajili yako. Fikiria mwenyewe , utaona kama ni kweli au sio.
4.Huangalia Ego zao Mlangoni.
Wanaume wenye kipato kidogo pia huwa wanajisikia kuwa wana haki ya kutosheka wao tu , kwa sababu hawana hisia za kumilikiwa na mwanamke na si hivyo tu bali huingia daima kufahamu hawako radhi juu ya kiimo ama mfuko wa thamani wa dhamana?
Maadili ya hadithi: usije ukamwacha mtu haraka eti kwa sababu hizo, sasa unataka wakavunje benki. Nafasi ziko hapo. Wanaovunja benki ……..uh, mambo mengine ..’’wink’’
Usimdharau mtu kwa kila alichonacho, kama ana pesa au hana pesa, shughulikia tatizo.
Mindset, ndio kila kitu.
No comments