Breaking News

YAPENI KIPAUMBELE MAMBO AMBAYO YANAONGEZA HISIA ZENU

 Mara nyingi sana mabadiliko ya tabia

chafu huanza pale tu wanandoa wanapopunguza hisia kwa kila mmoja na kumuona mwenzake wa kawaida kwake,,zile hisia za mwanzo zikiondoka na kuja na hisia za kwamba"aa huyu nishamuoa au huyu kishanioa hana jipya tena kwangu"hapo ndipo kila mmoja naanza kutengeneza hisia chafu na mbaya kwa mwenzake,


Labda niwaambie jambo moja ambalo linaweza kusaidia mahusiano au NDOA zenu,,msipende sana kuyapa kipaumbele mambo ambayo yanaharibu hisia zenu na kuleta ugomvi na kukosa maelewano mazuri kati yenu,,Yapeni kipaumbele mambo ambayo yataongeza hisia NA matamanio katika mioyoni mwenu,,hii itawafanya kujenga hisia mzuri kati yenu na wapenzi,,waume au wake zenu.

No comments