Agnes: Aliniambia tufanye kinyume na maumbile atamuacha mchumba wake. Ujinga wangu uliniponza
Agnes au Egy kama wanavyopenda kumuita rafiki zake, alikuwa na miaka 18 alipohudhuria na kutazama soka katika uwanja wa mtaani kwao Mwanza. Alifurahi sana kuwa huru kiasi kile baada ya kumaliza kidato cha nne.
Baada ya mpira kwisha kijana mmoja aliyejitambulisha kama Zakary alimfuata na kumuomba namba yake.
EGY: “Nilijikuta nampatia tu maana aliiomba kwa heshima sana”
Wiki ilipita bila kupokea simu ya Zakary. Siku moja alikuwa anasoma gazeti aliona jina la Zacharia, ndipo akakumbuka kijana aliyekuta nae uwanjani siku ile. Aliwaza ni kwa nini hajapigiwa simu wakati kijana yule alionekana anahitaji sana namba ya Agnes.
Kweli alinivutia jinsi alivyokuwa mchangamfu na mwenye heshima. Lakini pia nilikumbuka kwamba alikuwa mchezaji mzuri wa mpira kiasi kushangiliwa sana siku ile kwenye mechi. Vitu hivi vilinifanya niendelee kumuwaza bila kupenda.
“Jumamosi moja nilikuwa natokea madukani, nikamuona Zakary akiwa anaendesha gari aina ya Land Cruiser ya kampuni ya Umeme Tanesco. Aliponiona alisimamisha gari na tukasalimiana. Aliniambia yeye anafanya kazi ya udereva katika shirika hilo la umeme Tanzania.
Kuanzia siku hii, tuliwasiliana mfululizo. Mara nyingi alinipigia simu pindi tu akimaliza kazi majira ya jioni. Alinifuata mtaani kwetu tukawa tunaenda matembezini pamoja na nilijikuta namzoea kwa haraka sana wakati haikuwa kawaida yangu kuzoea wavulana.
Agnes ni msichana mrembo sana, ngozi yake ni ile ya chocolate iliyonyimwa coco ya kutosha. kama umeshatazama video ya wimbo wa Sautisol wa melanin basi unaweza kufananisha Agnes na warembo wa namna ile. Sura yake ilikuwa ni ya upole sana kama angekuwa nesi ungependa akuhudumie kwa muda mrefu sana… Japokuwa na upole wake usoni, Agnes hakuwa mpole kabisa kwenye umbo lake.
Sina maneno mengi ya kuelezea umbo lake lakini alijaliwa wowowo. Kama unavyomuona mrembo Vera Sidika, ila asiwe na ubonge wa kiasi kile. Agnes alikuwa ameshuka vizuri kifuani mpaka eneo la chini ya mbavu ambako kulikuwa na uminywaji wa demokrasia ambao ulimsababishia kiuno cha nyigu. Halafu upande wa hips na makalio ndio ilikuwa balaa buluu. Kila akipita mtaani wanaume hugeuka kuangalia.
So urembo huu wa Agnes ndio umemfanya awe mgumu kidogo kutengeneza urafiki na wanaume. Maana anadai kwamba wengi wanamtaka.
“Rafiki zangu walinisema sana, kwa kuwa nilipunguza muda wa kukaa nao” anaendelea kutusimulia Agnes.
Ndani ya miezi miwili Agnes na Zakary tayari walikuwa kwenye dimbwi refu la mahaba. Hakuna kitu ambacho angeambiwa akasikia juu ya huyu BF wake mpya.
“Siku moja Zakary alinikutanisha na rafiki zake, lakini cha ajabu aliposema huyu ni mpenzi wangu, hakuna aliyeonekana kunichangamkia au hata kutaka kunijua jina. Japo hili halikunisumbua, lakini lilinipunguzia hamu ya kutaka kuongea au kuwajua rafiki zake”
“Mapenzi yangu na Zakary yalikua kwa kasi ikafika wakati nikawa sioni aibu nilitamani tukitembea anishike mkono lakini alikuwa akiniambia hiyo sio style yake. Nilihisi sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye”
“Miezi ilipita nikaanza kuona kama Zakary amekuwa busy sana na anapunguza muda wa kukaa na mimi. Alikuwa ananiambia kuwa ameongezewa kazi hivyo hataweza kukaa na mimi kwa muda mrefu kama tulivyozoea”
Ilifika muda tukawa tunakutana kwa ajili ya sex tu, mambo mengine tunazungumzia kwenye simu. Niliamini huenda alikuwa busy kweli kama ambavyo alikuwa akiniambia. Ila siku zilivyokuwa zinakwenda ndivyo alivyozidi kupotea na kuibuka usiku tu anapotaka tufanye mapenzi.
Mwanzoni sikuona shida sana lakini ilifika wakati hata kwenye mapenzi nilianza kuona kama amekuwa mkatili zaidi na wakati mwingine kunikosea heshima. Nilianza kuhisi kuna kitu hakipo sawa.
“Kila nilipojaribu kumuuliza kuhusu uhusiano wetu alikuwa anabadilisha mada na kuongelea vitu vingine. Ilikuwa rahisi sana yeye kukasirika na kunilaumu kwa vitu ambavyo sijafanya. Kifupi nilihisi kabisa hanipendi tena ila anataka tu kufanya sex na mimi”
Niliashindwa kuuliza rafiki zake kwa kuwa tangu siku ile nikutane nao sikutakaga tena habari nao. Hivyo nikajirudi kwa marafiki zangu ambao walikuwa karibu na mimi japo mimi mwenyewe niliwatupaga.
Nilimuuliza kama kuna mwanamke mwingine amepata ambaye anamfanya anibadilikie kiasi hiki, akawa anakataa na kusema yeye bado ananipenda sema tu mambo yamekuwa mengi. Lakini hizo kauli zilikuwa zinanukia uongo tu hata ukizisikia wewe utajua… Hivyo nikaamua kufanya upelelezi.
Haikuwa kazi ngumu kujua kulikuwa na mwanamke mwingine katika maisha ya Zakary. Rafiki yangu aliniambia kuwa huyo ni mchumba wake rasmi. Ilikuwa ni habari mbaya sana kwangu. Nilijifungia ndani siku mbili nzima bila kutoka nje.
Niliapa kutomtafuta wala kupokea simu ya Zakary.
Zakary alinifanyia vitu ambavyo sijawahi kufanyiwa katika umri wangu wa miaka 19. Alinipa zawadi ndogo ndogo, na surprises mara nyingi, na lilipokuja swala la sex alinifanya niwe mtumwa wake zaidi. Kwa kweli mpaka sasa hivi sijapata mwanaume wa kufikia uwezo wake.
Siku moja baada ya kuwa kimywa kwa zaidi ya wiki moja alipipia simu na kuniita. Nilitamani kukataa lakini baadae nilijipa moyo kwamba sio vyema kukataa wito, wakati ninaweza kukataa maneno. Siku hii nilijikuta niko mikononi mwake tena huku nina uchungu zaidi moyoni.
Wivu, hasira na uchungu wa kusalitiwa vilichanganyika na hamu ya mapenzi niliyokuwa nayo baada ya ku-miss mapigo yake kwa siku kadhaa. Kwa uzuzu wangu swala mimi nilipeleka kesi yangu ya Fisi mikononi mwa Fisi mwenyewe. Nilijikuta nafurahia sana penzi lake siku hii.
Baada ya tendo huku nikiwa kifuani pake nilimuuliza kuhusu huyo mwanamke wake.
ZAKARY: Egy mpenzi naomba nikwambie. Nitakayosema usinichukulie vibaya maana nakupenda sana. Ni kweli yule ni mwanamke wangu ambaye nimekuwa naye kwa miaka mingi sana kabla ya wewe kutokea.
Nilijisikia kukosa pumzi kutokana na uzito wa yale maneno yake. Nilijihisi njaa na kajasho kembamba kakitokea kwenye viungo vya mwili.
Nilisimama pale chumbani huku nikiwa kama napata kizungu zungu nikavaa matambara yangu na kutoka hapo bila kusema kitu. Ilikuwa siku mbaya zaidi katika maisha yangu.
Kilichonikera zaidi, Zakary hakusema kitu chochote wakati navaa na kuondoka. Nilifika home nikajifungia na kulia sana.
WIKI MOJA BAADAYE
Sikuwa napokea simu aliponipigia, nilikuwa sina hamu ya kuongea nae kabisa.
Siku ya Jumapili Zakary alikuja nyumbani na kuniambia anataka kuongea na mimi nimsindikize mahali. Akili yangu iliniambia nikatae lakini mwili na moyo wangu viliniponza. nilijipa moyo kwamba ni vizuri ukimjua vyema adui yako.
Siku hii tena nikajikuta nimefika na kumvulia nguo anifanye anavyotaka.
Penzi letu liliendelea kuwa la kunyemeleana. Nilijaribu kuwaelezea rafiki zangu wa karibu, na ushauri wao ulinitaka nimuache Zakary, na mimi nilijua hili ndio suluhiso la mateso yangu.
Ndani yangu kulikuwa na nguvu nzito za mahaba ambazo sikuweza kukabiliana nazo. Kila nikisema sipokei tena simu nilijikuta napokea.
Kuna siku rafiki yangu wa karibu sana ambaye ndio alikuwa ananipa moyo kila siku. Aliniambia nimwambie Zakary kama anataka kuendelea na mimi aachane na huyo mwanamke wake.
Niliona ni wazo zuri. Siku moja nikiwa nimeshapata dozi yangu kutoka kwa Zakary, nilimwambia.
EGY: Hivi Zak kwani huyo mwanamke anakufanyia kitu gani ambacho mimi siwezi kukufanyia?
ZAKARY: Egy hata nikikuambia hautaamini.
ZAKARY: Unajua Egy we ni mrembo zaidi yake kifupi umemzidi kwenye kila idara. Lakini kuna kitu kimoja tu kinanifanya nishindwe kuachana na demu wangu.
Nililazimisha na kumwambia endapo ataniambia nitahakikisha namfanyia kwa ubora zaidi ya anavyofanyiwa na hicho kidemu chake. Alikuja kuniambia kuwa mwanamke wake huwa anampa tendo kinyume na maumbile, na kama nitaweza kumfanyia hivyo yuko radhi kuachana na huyo mwanamke mwingine.
Usiku wangu haukua na amani ya moyo kabisa. Nilijizungusha kitandani nikijaribu kufikiria baadhi ya vitu ambavyo Zakary aliniambia siku ile.
Siku iliyofuata nilipokutana na rafiki yangu nikamsimulia yote yaliyotokea siku ile. Ofcoz tukiacha details za segere la kitandani.
Ilifika weekend ambayo tulipanga kukutana kwake, nilipofika nikiwa na hamu sana ya kuzungumzia lile swala aliloniambia. Japo moyoni mwangu nilishajiapiza kwamab siwezi kufanya huo mchezo anaotaka kuufanya. lakini nilikuwa na hamu kubwa ya kuzungumzia hilo jambo maana huwa nasikiaga tu kwa watu. Lakini kwa hali niliyomkuta nayo siku hiyo, hatukuweza kuzungumza kwanza mpaka aliponipa shughuli.
Kwa aibu yangu kwenye mazungumzo kidogo nilimuuliza kuhusu kile alichosema siku ile. Akanielezea vile anavyopenda kufanya kinyume na maumbile. Akanielezea vile mpenzi wake anavyopenda kumpa kwa staili hiyo.
Katika stori yote hii nilikuwa najisikia kutapika lakini nilijizuia maana nilitaka kuendelea kusikiliza utumbo wake alikuwa akiusema.
Kwa kweli ilinipa mshangao. Baada ya hayo mazungumzo niliwaza sana na nikauliza marafiki kuhusu aina hiyo ya sex. Marafiki hawakunifanya nione ni mbaya.
Zilipita takriban wiki tatu bila Zakary kuzungumzia kisamvu. Tulikutana tukapeana tendo na kila mtu akaenda kwake. Kila tukifanya mapenzi nilijikuta nakiwaza sana huo mchezo na nilijikuta nasikia sana wivu, hakuna cha maana nilikuwa napata kwa huyu mtu zaidi ya maumivu.
Muda ukapita Zakary akaanza kuwa ananishawishi tujaribu kufanya kama anavyotaka, na a,iniahidi kwamba endapo ningekubali ombi lake hilo nisingejutia kiasi ambacho penzi letu lingekuwa. Akaniambia kwamba mpenzi wake hajui kitu kingine chochote zaidi ya hicho na kwamba alitamani sana amuache. Mwanaume alinijaza ujinga mpaka nikaanza kuwaza kama nikifanya kuna ubaya gani?
Kitu kilichokuwa kinanizuia kwa wakati huu ni uoga wa maumbile yake. Kila nikiwaza dude lote hili liingie huku nyuma, nilijiona kwamba ningeweza kupelekwa hospitali halafu itakuwa aibu na maumivu makubwa.
Katika mazungumzo yetu baada ya sex, nilimwambia Zakary kuwa ninaumia sana kujua kwamba kuna mtu mwingine amempa nafasi zaidi yangu. Nikamwambia niko tayari kufanya atakavyo ili mradi awe wangu peke yangu.
Alistuka na kuniangalia kwa jicho la fisi mwenye njaa aliyeona nyama mbele yake.
No comments