Breaking News

Mke Wangu Aliniacha na Kwenda kuishi na Mwanamke Mwenzake Sasa Eti Anataka Turudiane

Inauma sana jamani, Mke wangu wa Ndoa Nimekaa nae Miaka zaidi ya minne kumbe alikuwa na uhusiano na mwanamke Mwenzake mimi sijui mpaka alipoanza visa ndani ya Ndoa na mwishowe tukaachana , Nikapata stori kuwa anaishi kwa mwanamke mwingine ambae ni mpenzi wake kwa kifupi walikuwa wanasagana…Iliniuma sana ila nikaendelea na maisha kwa sasa nina mpenzi mwingine ila siishi nae Bado , Sasa navyoandika Hapa Huyu Aliyekuwa mke wangu Ametuma watu eti anataka tusuluhishe matatizo tuliyokuwa nayo na turudiane…..Jamani kumpenda na Mpenda ila hiyo tabia yake ya Usagaji najua hata acha …Nifanyaje ?

No comments