NILAMBE TENA….5
Saa mbili na nusu tulikuwa mbele ya
daktari akitunyonya damu zetu. Zikapimwa sote tulikuwa salama.
Akanikumbatia palepale mbele ya dokta.
“Twende ukanifungue” sikuelewa maana
yake mwanzo hadi hapo baadaye.
Akaendesha gari kwa kasi hadi
nyumbani. Alionekana mwenye shauku mno. Tukateremka ndani ya gari akalitia
lock tukaingia ndani. Hakunichelewesha.
Akanikumbatia kwa nguvu tukaangukia
kitandani. Jana yake nilivyomkosa, basi
hamu ikawa ni mara mbili. Ilikuwa ni
wakati wangu kumfungua kama alivyosema. Nilihakikisha namnyonya
mate huku nikimpapasa mapajani hadi
nilipotosheka. Nikamvua nguo zote na
kumuacha kama alivyotoka tumboni mwa
mama yake. Hakuwa akiniangalia usoni.
Mikono yote miwili aliiweka usoni mwake. Aibu. Nikayavamia mapaja yake kwa
ulimi. Nikayalamba kadri nilivyoweza
kabla ya kuhamia katika bustani yake.
Nikapitishia ncha ya ulimi wangu taratibu
kwa pozi kana kwamba sitaki kumbe
kiroho kinaniambia nianze mchakamchaka. Sikudumu pale muda
mrefu baada ya kumuona katika hali ya
kutaabika. Alionyesha dhahiri kutamani
joto la mwanaume. Nikainuka na kuwa
tayari kwa mashambulizi. Naye akainuka
na kuniuliza swali ambalo sikulitarajia. “nakupa mwili wangu. Tafadhali sana
niheshimu kama nilivyokuheshimu.
Sijawahi kumpa mwanaume tangu
nizaliwe. Wewe ndiye wa kwanza kuujua
mwili wangu. Nipo tayari unifungue.
Lakini itakuaje kama itakuwa tofauti na matarajio yangu??” aliongea huku akilia
machozi. Alionyesha hisia za kweli mbele
yangu. Nasema hisia za kweli kwasababu
walio machozi mara nyingi si wanafki.
Ikitokea basi ni wachache.
“Nitakuwa sawa na matarajio yako.” Nilipomjibu hivyo, akalala tena chali na
kuniachia mwili wake. Akaachia mapaja
yake na kuniruhusu. Sikuwahi kumtoa
mwanamke bikra. Lina alikuwa na wa
kwanza kwangu. Sikuwa fundi wala
sikuwahi kufundishwa jinsi ya kumtoa bikra mwanamke pasipo kumuumiza mno
hadi kumtia hofu na mapenzi. Pamoja na
kutoyapitia yote hayo lakini nifanikiwa
kwa kutumia utundu. Nikazidi kuamini
kwamba mapenzi ni utundu wako binafsi
wala si mpaka kufundwa. Ni sawa na kumuuliza mtunzi wa story eti maneno ya
kuandika unayatoa wapi ilihali ukifahamu
yanatoka kichwani. Nilichokifanya kwa
Lina ni rahisi mno wala hakunipa tabu.
Niliushika uume wangu na kuanza
kuupitisha taratibu juu ya mlango wake mtamu. Taratibutaratibu kama shoeshine
na brush zake za viatu. Kama dakika nne
nilidumu katika zoezi hilo. Kidogo
nikaingiza ncha kidogo kwa mtindo wa
kuingiza na kutoa. Akawa wa kuguna tu
ndani kwa ndani. Hapo napo nikadumu kwa dakika kadhaa kabla ya kuingiza
tena ncha zaidi ya mwanzo.
Akanikumbatia kwa nguvu na
kusababisha uume uzame kwa nguvu
kitu ambacho hata yeye hakukitarajia.
Raha zilimzidi. Ni ukelele tu wa wastani alioutoa ulioambata na damu.
Nikamfungua Lina mlango wake katika
staili hiyo isiyokarahisha.
**
Siku hiyo tulishinda ndani tukiongea na
kupanga mipango mbalimbali ya kimaisha. Hata chakula hakuna
aliyekikumbuka. Ilipotimu majira ya saa
kumi jioni, akaniaga na kuondoka japo
nilimbembeleza sana asiondoke bila
kuoga ikashindikana. Alichoniambia ni
kwamba anahisi aibu kuonekana akitoka kuoga. Akatoweka na kuniacha
nikimuwaza kwa mengi. Nikachukua maji
na kuelekea bafuni kuoga.
**
Kile alichoniambia Linda kilitimia.
Akasafiri kuelekea chuoni Florida. Nilikuwepo uwanja wa ndege wa KIA
pamoja na mama yake kwa ajili ya
kumuaga. Akanipungia mkono nami
nikampungia. Alitakiwa kufika Nairobi
ndipo apande ndege nyingine ya
kuelekea huko chuoni. Akapanda ndani ya ndege tayari kwa safari ambayo
angedumu huko kwa miaka mitatu pasipo
kuikanyaga ardhi ya Tanzania.
Alipoondoka, tukapanda kwenye gari na
kuianza safari ya kurejea nyumbani.
“Mbona umezoeana na Lina sana?” alikuwa ni mama lina ndani ya gari. Swali
lake lilinifanya kujing’atang’ata kwa
muda.
“Si sana mama. Ila tu ni damu zetu
zimeivana.”
“Acha kuniona mpuuzi wewe. mimi siyo mtoto mdogo kama mawazo yako
yanavyokutuma kunilaghai.”
“Hapana mama hata hakuna kitu kama
unachokifikiria”
“Sawa. Twende nyumbani kwangu
ukanimalizie tulichokatishwa na Lina” Nilihisi mwili kupatwa na baridi ya ghafla.
Nilishajua alichokuwa akikihitaji lakini
kauli ya Lina ilianza kuzunguka katika
fahamu zangu. Lakini upande mwingine
nikaamini huenda Lina aliona wivu.
Sikuongea chochote hadi tukafika nyumbani. Geti likafunguliwa akaingiza
gari na kulipaki eneo maalumu.
Tukateremka na kuingia ndani. Nikataka
kukaa kwenye sofa akanizuia na kunitaka
tuelekee chumbani. Kwa staili yangu ile,
hakika kuiona pepo ni vigumu mno. Muongo, mzinzi na mengine mengi.
Nikamfuata kama majani makavu ndani
ya maji yatiririkayo. Akanigeuza mtoto
mdogo nami nikatulia tuli kulifaidi penzi
la mama Lina. Nikasahau kwamba
nimefanya mapenzi na mtoto wake. Akanivua nguo zote kisha naye akavua.
Akatoa taulo moja na kunitaka tuelekee
bafuni. Bafu lilikuwa ndani ya chumba
chake hivyo haikuwepo tabu.
Tukaongozana hadi bafuni. Akatundika
taulo na kufungulia maji kisha akanivutia kifuani mwake. Maji yakawa yakitutiririkia
“Dakika moja.” Akaniambia na kutoka
bafuni. Aliporejea alikuwa na mswaki
mmoja mpya na ulioutumika pamoja na
dawa. Akanifungulia ule mpya na kuniwekea dawa kisha akanipatia. Naye
akaweka dawa katika mswaki wake na
kuanza kuswaki. Nami nikaswaki wakati
huo nikimtafakari manjonjo yake mama
yule mtu mzima. Tulipomaliza kuswaki,
tukayarudia tena maji. Akapiga magoti na kupakaa sabuni mkono wake wa kulia
kisha akaushika uume wangu na kuanza
kuusugua kwa kiganga chake laini.
Nikasisimkwa vilivyo. Sikuwahi kufanyiwa
hivyo hapo kabla. Kama dakika kadhaa,
akautumbukiza mdomoni kwake baada ya kuuosha kuondoa sabuni. Mwanaume
nikaanza kugugumia kwa raha. Alifanya
hivyo mpaka akahakikisha nimemaliza
msisimko wangu. Loh!! Hiyo raha
aliyonipa hata sikumkumbuka tena
mwanamke anayejali afya. Lina. Tukaoga na kutoka bafuni. Sikuta kuwa mzembe.
Nami nikamfutafuta maji na kumlaza
chali kitandani. Kama unakumbuka
vyema mwanzo wa story, huyu ndiye
chanzo cha NILAMBE TENA. Nikaivamia
ikulu yake kwa fujo na kuanza kuilambalamba kana kwamba
imemwagiwa asali. Nikailamba na hata
wakati mwingine nikitumbukiza ulimi
kabisa ndani ili kumfanya apagawe zaidi.
Ni kweli alipgawa si kidogo.
Oooopss nilambe tena ba-aa-aa-siiii. Ni sauti iliyomtoka kwa kukatakata.
Alionyesha kuzidiwa. Nami nikaona ni
wakati wangu kubeba kombe bila
upinzani. Nikazivamia chuchu zake na
kuzinyonya kwa fujo ileile lakini
hakuonyesha kusisimka kama awali. Ikanibidi kurudi tena kule ambako
humsisimua zaidi. Maneno ya kukatakata
yakazidi kumtoka mfululizo. Ni yeye
mwenyewe aliyenivuta kifuani kwake ili
kumfikisha kunako kilele kwa kumsugua.
Akaingiza mwenyewe na kwa muda mfupi akafika kwa kupiga keleke za
mahaba.
“Asante unajua kweli kumpagawisha
mwanamke.” Alinisifia huku akiuchezea
uume wangu ambapo haukuwa umelala.
Hiyo ikionyesha alihitaji tena mchezo uendelee. Sikuwa na hiyana. Akapiga
mgoti na kuinama kwa kushika chini
kwenye godoro. Hivyo akanipatia nafasi
ya kumpa utamu kwa njia nyingi. Huku
nikimlamba mgongoni na kumfanya
ajinyogenyonge. Vilevile mikono yangu ikiziminyaminya chuchu zake huku uume
ukiwa unaendelea na kazi yake. Mchezo
ukamalizika kwa mimi kuondoka na
ushindi. Hiyo ilikuwa ni siku yangu ya
kwanza kulala hapo nyumbani kwake.
Usiku wa siku hiyo niliutumia kumpagawisha mama yule.
**
Ilikuwa imepita miezi miwili tangu nifanye
mapenzi ya harakaharaka na mke wa
Mzee Abasi. Siku ni jumatatu nilipotoa
nguo zangu ili niweze kufua. Kama kawaida ya wengi kukagua mifukoni
kabla ya kuloweka nguo ili hata kama
kuna fedha iliyosahaulika isiweze
kufuliwa ndani yanguo. Ni wakati
nikikagua ndipo nilipotoa kitu ambacho
sikukiweka mimi. Mh!!! Niliguna kwasababu ilistahili nigune.
Kwa leo nakomea hapo. Tukutane kesho
mapema saa mbili kamili endapo watu
ITAENDELEA..
No comments