NILAMBE TENA….6
wanne wa mwanzo watatabiri kitu
kilichosababisha nigune. Vilevile
nawasisitiza kushare hadithi zangu kwa wingi ili kuzidi kujenga familia kubwa
zaidi. Nikutakie usiku mwema.
“Furaha ni watu na kama watu hakuna
huwezi kuifaidi furaha.”
Ilikuwa imepita miezi miwili tangu nifanye mapenzi ya harakaharaka na mke wa Mzee Abasi. Siku ni jumatatu nilipotoa nguo zangu ili niweze kufua. Kama kawaida ya wengi kukagua mifukoni kabla ya kuloweka nguo ili hata kama kuna fedha iliyosahaulika isiweze kufuliwa ndani yanguo. Ni wakati nikikagua ndipo nilipotoa kitu ambacho sikukiweka mimi. Mh!!! Niliguna kwasababu ilistahili nigune. Kilikuwa ni kipane kidogo cha karatasi huku kikiwa kimeandikwa namba za simu. Ndipo kumbumbuku kumbukumbu zangu zikanirejesha mara ya mwisho kuvaa ile suruali ilikuaje. Nilitoka kwa mzee Abas. Basi hapana shaka mke wake ndiye aliniwekea mfukoni pasipo mimi kuelewa. Nikaziandika katika simu yangu na kuzihifadhi. Nikaanza kufua.
“Kazi kama hizo haitakiwi kuzifanya mtu kama wewe. Unasaidiwa tu hata bila kuomba msaada. Nilikuwa nimeinama lakini ilibidi ninyanyuke kumtizama aliyekuwa akiongea maneno yale. Alikuwa ni mmoja kati ya wapangaji wenzangu. Sikuwahi kujenga mazoea naye hapo kabla lakini nilishangaa alipoutoa ujasiri wa kuongea maneno yale.
“Usijali hii ni haki yangu kufanya kwasababu nakwepa majukumu.” Nadhani hapo nimeeleweka. Yaani sina mke wa kuzifanya shughuli kama zile. Ilikua kama utani vile lakini nikashangaa akiinama na kuanza kufua huku nami nikiwa palepale. Hakuwa ameolewa hivyo sikuona sababu ya kuingiza hofu moyoni mwangu. Nikamuachia nguo na kuingia ndani. Akazifua na kuanika kabisa. Lakini pamoja na hiyo, nilikuwa wa kumuwaza sana kwa jambo lile wasababu si la kawaida.
Majira ya mchana nilitoka na kuelekea kwa rafiki yangu Kelvin lakini bahati mbaya sikumkuta. Nikaamua kupita grocery na kuagiza soda. Nikainywa taratibu kuusogeza muda hadi ilipotimu majira ya saa kumi. Nikarejea nyumbani. Sikuwa nimeoga tangu asubuhi ya siku hiyo, hivyo nikaelekea bafuni. Ni wakati najipakaa mafuta, mlango wangu ukagongwa. Nikavaa pensi haraka ndipo nikamkaribisha. Alikuwa ni yule dada aliyenisaidia kufua nguo zangu huku akiwa nazo mkononi. Nilimtizama nisijue cha kuongea. Yani kafua na kuzianua mwenyewe kisha akaniletea ndani.
Nilizipokea na kumshukuru kwa ukarimu wake.
“Ni kwanini unakwepa majukumu ilihali una uwezo wa kummiliki mwanamke??” aliniuliza na kunifanya nizidi kumuona akili zake zinamuenda mbio.
“Naogopa kuibiwa.”
“Asa unadhani utaishi hivyo hadi lini?”
“Hadi nife.”
“Ni ngumu. Utaoa kwa bila kutarajia au utapotea kwa magonjwa kwasababu huwezi kuvumilia kutofanya mapenzi kama u mzima.”
“Nani alikwambia siwezi kuvumilia??”
‘Najua huwezi nd’o maana nikajiamini wakati nikikwambia hivyo.”
“Unajidanganya.” Nilipomjibu hivyo ikawa kama nimemchohea. Akanisogelea na kuweka mkono kifuani kwangu.
“Huwezi.” Akaniambia.
“Naweza.” Nilimjibu na kumfanya aanze kunipapasa. Tangu nifanye mapenzi na mama yake Lina, sikuwa nimekutana na mwingine. Hiyo ikiwa ni takribani mwezi mmoja. Hivyo mkono wake kuanza kunipapasa ulinilegeza na nguvu na hata akili za kuuondoa usiendelee, zikakosekana. Akazidi kutalii kifuani mwangu na hatimaye akahamia mgongoni huku akinisukuma taratibu na kujikuta tumefika kitandani. Akanisukumia nami nikaangukia juu ya kitanda. Akanivua pensi yangu na kuanza kuninyonya uume wangu. Alifanya hivyo kwa kasi huku akiwa kama mtu anayekunywa juisi kwa mrija. Au muda mwingine akiwa mfano wa mtu anaye mung’unya pipi ivori ya kijiti. Nikazidiwa na pumzi zikaanza kunienda mbio.
“Unaweza kuvumilia?” akaniuliza kizushi ilihali jibu analo tayari ya kuwa siwezi kama nilivyombishia hapo kabla. Sikumjibu zaidi ya kukikandamiza kichwa chake zaidi katika uume wangu. Akajitoa kwa nguvu na kusimama. Akavua nguo zake. Duh!! Nikashangaa huo uwanja ulivyokuwa mchafu. Nyasi zimerefuka kana kwamba ni miaka kadha wa kadha imepita pasipo kutumika. Sikuifurahia hali ile.
“kama dakika mbili nakuja.” Nilimwambia huku nikivaa pensi yangu na fulana. Nikachukua shilingi mia mbili na kelekea dukani. Nikanunua wembe na kurejea ndani. Niliporudi hakuwepo lakini aliacha nguo zake kumaanisha aliondoka na kitenge peke yake. Dakika mbili tangu nirejee naye akarudi huku mkononi mwake akiwa na kichupa kidogo ambacho sikuelewa kina nini ndani yake.
“upo tayari?” aliniuliza wakati huo akiteremsha kitenge na kusababisha kuiona ikulu yake ikiwa vilevile na msitu mnene.
“nipo tayari.” Nilimjibu na kumlaza chali kitandani. Nikachukua kindoo kidogo ambacho kilikuwa mahususi kwa ajili ya kuogea. Nikaweka maji kidogo na kulowanisha sabuni. Ikawa tayari kuruhusu povu lake. Nikaipakaa katika mzunguko wa ikulu yake kwa muda kisha nikachukua kitambaa laini na kukilowanisha kwa maji. Nikamfuta vyema kisha nikaanza kuyaondoa majani ya msitu wake. Wakati wa zoezi hilo, kidole changu cha mkono wa kushoto kilikuwa kikimpa raha kwa kukichezea ki..mi chake. Acha ababaike mpaka wembe ukateleza na kumkata japo siyo sana. Baada ya kumaliza kazi yangu, nikamvutia kinywani mwangu. Loh!!!! Hicho kinywa sijui nikwambiaje msomaji wangu au nikupe mfano gani ili uelewe kwa haraka. Lakini hiyo harufu yake ilikuwa si ya kitoto. Kweli mzuri mno lakini doh! Bahati nzuri ndani kwangu nilikuwa na mswaki wa ziada mpya. Nikampatia pamoja pamoja na dawa. Akaswaki vyema wakati huo nikitoka kwa mara nyingine kuelekea dukani kwa ajili ya kununua angalau maji ya kunywa pamoja na juisi ili kupunguza ile harufu ya dawa ya meno kinywani mwake. Niliporejea akawa tayari yupo kitandani akinisubiri. Tukanywa ile juisi pamoja na maji kisha tukaingia uwanjani tukiwa sawa kila idara. Hakuna refa wa kutupigia makelele na filimbi. Hata tucheze faulo ni sisi wenyewe.
“wewe ni mtaalamu. Nilambe tena.” Nikamlamba kweli kwa mara nyingine kama alivyotaka. Nilimuandaa mwenyewe hivyo ni haki yangu kumshughulikia. Hadi majira ya saa mbili usiku ndipo aliondoka ndani kwangu akiwa hoi.
**
Ni alhamisi nikiwa kazini kwangu, akaja mama Lina huku akiwa na rafiki yake.
“nimemleta rafiki yangu naye anataka thamani kama ulizonitengenezea maana ni nzuri haswa.”
Tukakubaliana malipo lakini kabla hawajaondoka rafiki yake akaniomba namba yangu ili awasiliane nami kujua maendeleo ya shughuli yake. Lakini wakati nikianza kumtajia akamuangalia mama Lina ambaye alikuwa bize na simu yake. Akanikonyeza na kunyanyua bega lake la kushoto kiaina. Mh!! Mwaka wangu huu. Nilijisemea. Wakaondoka na kuniacha nikiendelea na majukumu yangu kama kawaida. Majira ya usiku nikiwa kitandani mawazo yangu yalikuwa kwa Lina. Jinsi alivyokuwa makini kuanzisha mahusiano japo kwangu alikosea maana sikuwa na chaguo maalumu. Pamoja na hilo niliwaza sana kauli yake tukiwa ndani ya gari. “huenda jibu lako likakuepusha na mengi” niliiwaza sana bila kuelewa maana yake. Nikajikuta nikianza kunyemelewa na usingizi lakini ghafla nikasikia simu yangu ikiita. Nikaichukua na kuangalia aliyekuwa akipiga. Niishangaa kwasababu ulikuwa ni usiku mkubwa majira ya saa saba usiku.
“Nimeshindwa kulala nimezidiwa mno. Naomba nije nikuchukue unipe dozi jamani.”
ITAENDELEA
No comments