Breaking News

KILA UKIFANYA MAPENZI UNAPATA HEADACHE KALI?SOMA HAPA

 

Hivi inakuwaje kama kila unapofanya mapenzi na mwenzi wako unaanza kupata maumivu makali ya kichwa kiasi cha kukuondoa kwenye mood?
Hizi hapa baadhi ya sababu na jinsi ya kudeal nazo kama ambavyo zimeorodheshwa na mtandao wa Menshealth.
Tafiti zimeonesha kuwa kati ya watu 100 at least mtu 1 anapata maumivu ya kichwa wakati au baada tu ya kufika kileleni wa sex. Mwanaume anapata maumivu ya kichwa mara nyingi zaidi ya mwanamke.

Sababu

Kwanza kabisa kuumwa na kichwa baada ya kufikia kilele, inaweza kuwa ni kitu cha kawaida.
1. Kuongezeka kwa buble kwenye mishipa ya artery kichwani. Hii inaitwa intracranial aneurysm tafadhali fuatilia hii.
2. Abnormal connection kati ya artery na veins kwenye kichwa
3. Stroke
4. Coronary artery disease
Lakini bado kuna sababu zingine nyingi za ndani kwa ndani. Mfano fahamu kwamba unapokuwa unafanya sex, mwili wako huwa unatoa adrenaline ambayo inafanya damu ikimbie.
Japokuwa maumivu kichwani inaweza isiwe tatizo kubwa, lakini kama unapata hali hii mara kwa mara, hakikisha unaenda kuonana na daktari.

No comments