Breaking News

KWANINI LEO HII WATU WENGI HAWATAKI MAHUSIANO YA MAPENZI? SOMA HAPA

 

1/VIDONDA
Vijana wengi uwaga wanaishi maisha ya uhuni sababu awataki vidonda tena katika maisha yao hii yote kwa sababu ya mapenzi ya kipindi cha nyuma waliopata katika maisha kwa watu ambao walitokea kuwapenda kutojali upendo wao
2/KUTOJIAMINI
Wanawake na wanaume wengi wameshindwa kutengeneza mahusiano sababu ya kukosa kujiamini wakiamini sio wazuri wa muonekano au elimu yao ni ndogo au pia kipato chao kwa hiyo awawezi kuwa na Mtu fulani
3/KULINDA PENZI
Pia sababu nyingine kubwa inayowafanya vijana wasitengeneze mahusiano mapya ni kushindwa KULINDA PENZI kumtosheleza mpenzi wake kwa mahitaji yake muhimu au ata pia mahitaji ya sex hasaaa kwa wanaume kushindwa kuwafikisha kileleni au wanawake kushindwa kuwatuliza wanaume kwa kuwapa penzi tamu la kuwatuliza
4/UVUMI WA KIMAPENZI
Pia kumekuwepo na uvumi juu ya masuhala ya kimapenzi kwamba mwanaume machine, mapenzi pochi, wanawake wa siku hizii sio wa kweli, wanaume wote walewale, ukimpenda Sana mtu ujue kakuloga, ukabila… Kabila Sio nzuri dini flani sio nzuri kuoa
5/KAULI ZA KIMAPENZI
Kupotea kwa maneno matamu ya kimapenzi kumekuwepo na fikira potofu juu ya maneno matamu wanawake wengi kuyakataa na kuyapuuza na kusema ya kitoto au maneno matupu sio kitu lakini ukweli ni kwamba mapenzi yanaendeshwa kwa kauli nzuri za kimapenzi Kwamba “sikuaachi mpaka kifo “Hahahahahahah “siwezi kulala bila wewe “hahahahahaha “please naomba ukilala uniote” hhahahahahaha”nikifa naomba nizikwe na picha yake nina imani siku moja nitakutana nae”
6/MONEY IS POWER
Wengi wameshindwa kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi sababu ya matatizo ya kiuchumi wakiamini mpaka watapo pata pesa nyingi au kumpata mwenye pesa ndio atatulia pesa nguvu yake ni ndogo sana kwenye mapenzi kwa sababu pesa haimfikishi mwanamke au mwanaume kileleni pia pesa haiwezi kuleta mapenzi kweli

No comments