Breaking News

NIMETUMBUKIA KWENYE MAJARIBU MAZITO NA MKE WA RAFIKI YANGU

 

Kuna Rafiki yangu ambae tulikua tumeshibana sana miaka kadhaa iliyopita lakini bahati mbaya urafiki wetu ulitumbukia nyongo na tumechuniana zaidi ya miaka minne Kwa sababu ambazo sijazielewa hadi leo,
Jamaa alikataza hadi mkewe kujihusisha na familia yangu
Kumbe jamaa hana kazi mwaka Wa nne sasa yupo benchi alifukuzwa kazi
Kama miezi miwili iliyopita nilikutana na mkewe accidentally, tukapeana contact upya na alikua mjamzito Wa miezi kama mitano hivi kuelekea sita, Akawa ananipigia simu kuomba hela kila baada ya siku mbili tatu, jambo ambalo lilinishangaza sana maana kwa maisha yao yalivyokua mazuri haikua rahisi kuamini
Baada ya kumpa kama laki na hamsini hivi jumla nikaanza kumkwepa, haikusaidia akawa ananipigia kwa namba zingine,
Siku moja akaniomba tuonane
Katika kuonana akanieleza kwa urefu sana matatizo yao ifuatavyo
Moja ni kuwa mumewe hajishugulishi na chochote amekaa tu home tangu afukuzwe kazi miaka minne iliyopita
Pili anategemea wazazi ndo wamtumie hela Mara kwa Mara
Tatu hata ikitokea mtu ameumwa ndani inabidi waombe ombe pesa kwa watu mbali mbali
Nne, anadai hali ni mbaya kuzidi Maelezo
Amekua akimsisitiza aje anione ili nimsaidie maana nipo hr department na jamaa anajua hilo lakini mwanamke akimgusia jambo hilo Jamaa ananzisha hadi ugomvi mkubwa hivyo amemuacha tu
Ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni wiki kama tatu zilizopita aliniomba tuonane kinondoni machi machi guest house nikashtuka sana, nikamuuliza kulikoni guest akaniambia ww njoo hapo tukionana bar huwez jua nan atatuona so tuongee kwa dakika chache then nasepa
Nilipofika alikua jiran na hapo akaja tukaingia ndani, kwa hali ya ujauzito alionao niliamin wazi hatuwez kufanya chochote, surprisingly alianza kunivua nguo kama wale watu Wa wrestling, nilijikuta nimeshindwa kuhimili mhemko na bahati mbaya tukajuana
Sikujua kama jamaa ameoa mwanamke mpenda pesa kiasi kile maana pale pale akaniomba laki moja nikampa elfu hamsini cha ajabu jioni akaanza kunisumbua hamsini iliyobaki
Nimejiingiza kwenye jambo ambalo limekua mzigo mkubwa kwangu, natoa hela kila siku mbili tatu
Ingawa akiniomba twende guest nakua mdhaifu nashindwa kukataa, kwa kawaida mke wangu akiwa mjamzito huwa hapendi tendo kabisa na style yetu huwa ni moja tu miezi yote ya wote kutazama upande mmoja
Ila huyu shemeji huwezi amini mtu ana mimba ya miezi saba kwenda nane anajibinua anakaa doggie hadi mi naogopa
Nahitaji kuachana nae lakin amekua all over me, anasema anakaribia kipindi cha kujifungua hivyo anahitaji msaada wangu, anaona kuwa tukiachana siwezi kumsaidia kama tulivyo wapenzi
Hivi sasa ananisumbua ada ya mtoto wao Wa kwanza ambae kafunga shule, na mm sina hiyo hela kwa kweli maana mm binafsi Nina watoto watatu, mmoja nilizaa kabla sijaoa ivo namhudumia mm
Hili jambo linanishinda kwenye gharama tu
Kuna mwenye suluhisho hapa nilitatue vipi hili tatizo?

No comments