Breaking News

MSAADA;JINSI YA KUMTEGUA MWANAUME TOKA LIMBWATA ALIYOTUPIWA NA MKEWE AWE CHINI YAKE

 

Mke anamdharau Mumewe Na Anakuwa na mamlaka ndani Ya Nyumba, Mume Kawa kama zezeta ..........hajali Ndugu Zake !! Anamfulia mkewe mpaka nguo za Ndani.. 
TumeGundua Kamuendea Kwa Mganga na Kuroga Ili Awe Na Mamlaka Juu Ya mumewe na mali Zake na limbwata limemuingia Sawa sawa...

Msaada wakuu Kwani Mume anashindwa fanya kitu Cha Maana Zaidi Ya kuendeshwa na huyo Mke!
Tufanyaje Kumtoa Huko Alipo?

No comments