MWANAMKE HILI NI MUHIMU KWAKO
Mwananke popote ulipo hili likufikie na kama vipi share na mwanamke mwenzako.
Kwa mda mrefu nimekua nikisikia kila mwanake akitaka kuolewa tena akiolewa na mwanaume asiyekua na tamaa za mwili.
Hivi ni mwanaume gani asiye na tamaa za mwili ? mwanaume gani asiyetamani kufanya mapenzi na mwanamke ? wanaume wote wana tamaa lakini tamaa hutofautiana. Kuna wanaume wanajua kutawala tamaa zao na kufanya kwa siri pasipo wewe mwanamke wa ndoa kujua.
wanawake wengi mmekua na tabia ya kusema kuwa mwanaume ambaye hakuombi mapenzi kabla ya ndoa ndiye mwanaume mmzuri wa kuolewa naye, lakini je wewe unatafuta maisha ya ndoa ay unatafuta maisha ya furaha ? Mimi kama mwanaume kama nikikutongoza alafu ukinibania sex naweza kuwa na wewe lakini nikawa Napata sex pengine tu hadi nakuoa lakini pembeni nikiwa na mwanamke mwingine wakunipa sex, sasa hata tukiwa ndani ya ndoa usifikirie nitamuacha yule alokua akinipa sex kipindi nikiwa nakuchumbia wewe, aise nitamuheshimu sana hata zaidi ya mke wa ndoa, hivi unafikiri wanaume rijali watavumilia kirahisi? Mimi naamini hata mwanamke hawezi kuvumilia kiiivo anaweza kuwa anamnyima boy ambaye anaamini atamuoa lakini anawapa wengine kujifurahisha.
Hivi mimi mwanaume nitashindwa nini kuja nyumbani kwako kujitambulisha mbele ya wazazi wako ili nikutumie na kukucha ??
Kwako nitakuja nitakaa na ndugu zako tena nikiamua natembea na wadogo zako au na dada zako alafu hata mara nyingine kuna atakayetembea na hata mama yako. Yaani anakuja kujitambulisha kwa ajili yako lakini atatamnbea na hadi na mabinamu zako kisha atakuacha.. wanawake kaeni makini sio kila anayejitambulisha ni muoaji, nakwambia hata pete utavishwa lakini wapi, msitake tu kuishi maisha ya ndoa hapana nawaambia jaribuni kutafuta maisha ya furaha, sio ndoa zote zina furaha, nawaambia kuna mahusiano ya kawaida tena ya watoto wa darasa la saba lakini yana furaha kuliko ndoa, mwanaume mwaminifu kwako usimpime kwa kutomvulia chupi, unaweza usimvulie kwa miaka kumi lakini ukija kuingia kwenye ndoa ukajuta, mwingine utamvulia chupi siku ya kwanza tu mkikutana lakini mkadumu na kuzikana, tumia akili ya ziada katika hili

No comments