Breaking News

SMS YA KUMTUMIA MPENZI WAKO AKUFANYE WA KIPEKEE

 




mapenzi ni safari=unifanye nauli ya moyo, mapenzi ni
maradhi=unifanye daktari ni kutibu maradhi yako,mapenzi ni
kiu=niwe maji jangwani,mapenzi ni chakula=nikulishe
maishani mwako na uwe asali moyoni mwangu

No comments