Breaking News

SMS YA KUMWAMBIA MPENZI WAKO KUWA UTAENDELEA KUMPENDA

 



Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe
sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya
ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo!
“NAKUPENDA MALAIKA WANGU”

No comments