Lazima utakuwa mwizi sababu umeiba moyo wangu, umechoka sababu unakimbia mara zote akilini mwangu, na labda mimi sina shabaha sababu mara zote nikikulenga nakukosa.
UJUMBE MZURI WA KUMTUMIA MPENZI WAKO UMPENDAE SANA
Reviewed by Tasboy
on
10:39 AM
Rating: 5
No comments