UJUMBE WA KIMAHABA WA KUMTUMIA MPENZI WAKO ANAYATUMIAJE MAPENZI?
pendo ni silaha kali zaidi duniani huuwa wasio na hatia
na hujeruhi bila kutarajia,wengine hujitolea muhanga nayo
,silaha hiyo itumikapo vizuri huleta marafiki na kuongeza
furaha,je we unaitumiaje silaha hiyo?
No comments