WADADA WA MJINI HAWA WAKAKA WAMEWAKOSEA NINI
Kitendo cha kuchukua tu namba ya simu ya demu wa Dar, tayari nywele zake zinafumuka muda huo huo, njaa inamuuma dakika hiyo hiyo, simu yake inaharibika siku hiyo hiyo, siku yake ya kuzaliwa inafika saa hiyo hiyo, mama yake anaumwa ghafla hapo hapo, na kodi yao ya nyumba inaisha dakika hiyo hiyo.
Mademu wa Dar hata kama hujui kutongoza, wee kuwa mzee wa trick tu, vaa vizuri michomekeo hatari, Iphone feki mkononi huku unapiga simu feki unaongelea Pesa tu na madili feki, mara tenda ya bilioni 3 kwenye kampuni yako, mara bandarini mizigo ya milioni mia 9, mara mkataba wa milioni mia 8. Mwenyewe ghafla utasikia, "kaka mambo, shika hii namba yangu utanicheki".

No comments