Breaking News

WANAWAKE; SIRI 5 ZA KUMTOSHELEZA MUMEO KITANDANI

 

Inasemekana wanawake hufurahishwa zaidi na mambo ya hisia. Kwa upande mwingine, wanaume huwa makini na mambo fulani haswa wanapofanya mapenzi na mwanamke. Yafuatayo ni mambo matano mwanaume huwa makini kuyajua wakati wanapofanya mapenzi na mwanamke: ADVERTISING
1. Kujitolea kwako Iwapo utaniwachia kazi yote wakati wewe umelala, basi ni rahisi kunifanya sisi nifikirie hupendezwi na tunalolifanya. Ni bora pia ujitahidi na uonyeshe kuwa unafurahia. Habari Nyingine: Kwa nini wanawake hawapendi wanaume wafupi? pata habari
2. Je, viungo vyako umeufanya mgumu ama umelegea?
Ukifanya viungo vyako kuwa vigumu, basi ujumbe ninaopata ni kuwa kuna shida mahali ama hufurahii tendo la kujamiiana. Kwa upande mwingine, wanaume hufurahia unapojishughulisha kushihirisha unafurahia kufanya mapenzi.
3. Macho Je, unatazama chini?
Je unaangalia ukutani au kwa dari ya nyumba? Haya hayapendezi. Bora ni uniangalie ndani ya macho. Habari Nyingine: Nimelala na wanaume elfu tano kwa miaka ishirini, asema Kahaba
4. Pumzi yako
Ni bora kuonyesha hisia. Kwa mfano, hamna makosa kupumua kwa nguvu unapokaribia upeo wa raha ya kujamiiana. Kunujuza haya kutanifanya nitie juhudi zaidi
5. Mavazi uliyovalia..
Mavazi anayovaa mwanamke kabla ya kujamiiana yana uwezo wa kuuwasha moto wa mapenzi ndani ya mwanaume au kuuzima

No comments